[Mabadiliko] Mjumbe wa Katiba mpya kufutiwa uanachama

Sunday, February 23, 2014

Nimefika toka TBC radio jioni hii kuwa mjumbe wa Katiba mpya ndugu Rashid amefutiwa uanachama na chama chake cha siasa. Pia wanampango wa kumfungulia kesi. Sababu ni kupeleka jina lake pasipo kupitishwa na chama. Mwenye taarifa zaidi atujuze.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments