[Mabadiliko] MAPYA YAANZA KUIBUKA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

Sunday, February 23, 2014
TWENDE PAMOJA KATIKA UCHUNGUZI HUU,,!!!

NI KIGEZO GANI CHA KUTOFAUTISHA MATOKEO HAYA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KIMETUMIKA???

Kinachonishangaza sana na kunisikitisha ni hiki hapa.

Kuna wanafunzi wana-alama (points) 42 wamepewa Div.0, na kuna wanafunzi wanapointi 46 wamepewa Div. IV,

Kuna waliopata points 43 wamepewa Div.IV, na wengine wamepata points 43 wamepewa Div. 0

hii sio kawaida ni zaidi ya uchakachuaji.

UCHAMBUZI KWA KIFUPI HUU HAPA,,!! Kuwa makini uone utofauti au usawa wa points ila utofauti wa ufaulu.

Na kwanini mabadiliko haya yaje, kwa manufaa ya nani baada ya Bunge kukataa upuuzi huu???

SHULE YA SEKONDARI WIGAMBA YA MBEYA MJINI- ENEO LA ISANGA- MFANO WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

No. ya Mtahiniwa, Points. Division
S3133/0088 45 IV
S3133/0082 45 0
S3133/0092 42----------------- 0
S3133/0095 43----------------- 0
S3133/0099 44-----------------0
S3133/0100 42------------------IV
S3133/0101 43------------------IV
S3133/0103 44------------------IV

SHULE NYINGINE YA JINA LA MH. NCHIMBI
-------------------------------------------------------------------------------------------------

DR. NCHIMBI SEC. SCHOOL

S1877/0001 43--------------------IV
S1877/0003 43-------------------IV
S1877/0006 46-------------------IV
S1877/0007 46-------------------IV
S1877/0028 44------------------IV
S1877/0037 45------------------0

Ndugu Watanzania wenzangu, mimi naona haya ni maafa kuliko UKIMWI, NA TSUNAMI ukilinganisha na anguko hili.

Tujiulize, na tutafakari kwa ufasaha kisha tutumie busara kusaidia Taifa letu kwani linatufia kutokana na kuwafumbia macho mafisadi wakichakachua matokeo ya uchaguzi, hadi matokeo ya elimu za ndugu zetu ambao sasa wengine wanajichoma visu, na hata kujitia vitanzi kutokana na mafisadi wachache wanaotesa Taifa letu.

MASWALI,,??

Ni kigezo kipi kimetumika kuchukua mfumo huu wa kupanga matokeo??
Mfumo huu umekuwa bora wapi, na katika nchi ipi iliyoendelea??
Je, utafiti gani ulifanyika ukaridhisha kuwa mtindo huu wa kupanga matokeo utakuwa na tija kwa taifa kuliko uliokuwepo awali?
Kama utafiti ulifanywa, nani alifanya na matokeo yake yaliripotiwa kwa nani?
Je, bunge la Jamhuri lilihusishwa na kuidhinisha utaratibu huu??

CCM INATUMALIZA KABISA, KABISA,,,!!! MUNGU ATUSAIDIE ILA NI MUHIMU SANA SOTE TUSHIRIKI KULETA MABADILIKO NCHINI PETU.

------------------------------------------------------------------------------------------------------
ONA MATOKEO YA WANAFUNZI HAO NILIOWATOLEA MFANO KWA UNDANI UKIFUATA NAMBA ZAO UONE UFAULU WA KILA MMOJA NA POINTS WALIZOPEWA NA UTOFAUTI MA MADARAJA WALIYOPEWA.

Ukitaka kujiridhisha zaidi ingia kwenye tovuti ya NECTA uhakikishe ninachokisema hapa kisha tusaidiane kudai haki.
.................................................................................................................................

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS
S1877 DR. NCHIMBI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 50 DIV-0 = 77
CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS

S1877/0001 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S1877/0002 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0003 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0004 F 28 III CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S1877/0005 F 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'B' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'E'

S1877/0006 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0007 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0008 F 24 II CIV - 'C' HIST - 'B' GEO - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B' B/MATH - 'E'

S1877/0009 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0010 F 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0011 F 47 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'E' BIO - '

S1877/0028 F 44 IV CIV - 'F' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0037 F 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

--------------------------------------------------------------------------------------------------
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS

S3133 WIGAMBA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 1 DIV-II = 10 DIV-III = 14 DIV-IV = 57 DIV-0 = 34

S3133/0082 M 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0083 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'E' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0084 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'E'

S3133/0085 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0086 M 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'F'

S3133/0087 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0088 M 45 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0089 M 40 IV CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'E'

S3133/0090 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S3133/0091 M 34 IV CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S3133/0092 M 42 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0093 M 39 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'E' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0094 M 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0095 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0096 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0097 M 26 III CIV - 'C' HIST - 'E' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'B' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'B'

S3133/0098 M 32 IV CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'C'

S3133/0099 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0100 M 42 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0101 M 43 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0102 M 37 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'

S3133/0103 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0104 M 39 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments