WACHINA KESI YA SAMAKI WA MAGUFURI WASHINDA RUFAA
Na Happiness Katabazi
RAIA WA KIGENI walwili Tsu Chin Tai na Zhao Hanqueing waliokuwa wanatetewa n wakili John Mapinduzi ma Ibrahim Bendera, Februali 23 Mwaka 2012 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ,iliwakuta na haia katika kwa kosa la kufanya uvuvi haramu katika bahari ya Hindi Ukanda wa Tanzania, maarufu kesi hii tuliipachika jina la " &kesi a samaki wa Magufuli"kifungo Cha jumla ya Miaka 30 Jela au KULIPA faini ya sh. Blioni 22, HIvi PUNDE Mahakama ya Rufaa imewaachilia Huru baada ya kuona hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ilikuwa na makosa ya kisheria. Ila washitakiwa Hao wamerejeshwa gerezani kwaajili ya Taratibu nyingine za JESHI Hilo la Magereza ili wawe za KUACHILIWA Huru.
-- Na Happiness Katabazi

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
1 Comments
[Wanabidii] Wachina Kesi Ya Samaki Wa Magufuri Washinda Rufaa - Wanabidii Blog >>>>> Download Now
REPLY>>>>> Download Full
[Wanabidii] Wachina Kesi Ya Samaki Wa Magufuri Washinda Rufaa - Wanabidii Blog >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
[Wanabidii] Wachina Kesi Ya Samaki Wa Magufuri Washinda Rufaa - Wanabidii Blog >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK