NGOMA AFRICA BAND WARUSHA HEWANI SONGS ZA KUMUAGA RAIS JK
Ujerumani,Kuliungua shoka Mpini ukabaki !
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake nchini Ujerumani,wapekaua nyimbo mbili mpya za kumuaga Rais Jakaya Kikwete atakaye malizaa muda wake wa awamu ya nne mwishoni mwaka huu 2015.nyimbo hizo zipo katika single CD iliyopewa jina la "LA MGAMBO" ambayo nyimbo mbili (1) " La Mgambo J.K anamaliza Kazi..."(rumba) na (2) J.K Tunatamba Nae (Dance),nyimbo hizo ni utunzi wake wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja akiimba kwa kushirikiana na Afande Chris-B ambaye pia ni mcharaza solo gitaa mahiri nayetisha katika upigaji wa gitaa lake,katika kunogesha nyimbo hizo kikosi kizima cha Ngoma Africa band aka FFU kimeifanya CD hiyo mpya ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete kuwa na mdundo unaotingisha kimataifa !
Kamanda Ras Makunja na Afande Chris-B wakichana mistari katika nyimbo hizo
na kusindikizwa na mlio wa muziki unaotingisha anga kwa kumrusha hewani Rais Jakaya Kikwete na kuifanya bendi hiyo kuwa bendi ya mwanzo kumtungia RaisJakaya Kikwete nyimbo za kumuaga.
wasiliana nao at ngoma4u@gmail.com
Sikiliza at
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments