[wanabidii] Ariel Sharon amekufa

Saturday, January 11, 2014
Hatimaye aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Ariel Sharon amekufa leo.

Itakumbukwa huyu bwana alikuwa mahututi toka 2006 hadi leo alipokufa!! Anaweza kuingia katika rekodi za dunia kuwa mtu aliyekaa kwenye coma state muda mwingi zaidi.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments