[wanabidii] Urafiki wa JK na Uhuru Kenyatta kulikoni?

Wednesday, July 03, 2013
Nimekuwa nafuatilia ukaribu wa Rais wetu na Rais wa Kenya toka kipindi
kile wakati Uhuru alipokuja Ikulu kutafuta sapoti ya JK ili ashinde
kiti hicho.
Nilishuhudia JK akiwa Kenya ktk kuapishwa kwa UK na alikaa beneti
kabisa na Rais huyo mpya wa Kenya. Na muda mfupi baada ya kutangazwa
ameshinda, walikutana kwa faragha arusha (Rutto na jk).
Juzi hapa UK alialikwa na Mu7 Uganda, wakakutana na Kagame na Kiir
wakapanga mikakati ya kuunda umoja wa kiuchumi wa pa1 bila kumuona JK
au muwakilishi. Kulikoni? Haya, Juzi wakati mkutano wa global
partneship 2013 ukiendelea, Ombeni Sefue, Katibu mkuu kiongozi
aliwambia wajumbe kuwa pa1 na viongozi wengi walioalikwa, UK pia
alialikwa na yuko njiani anakuja. HAKUONEKANA! Kulikoni?

---------- Forwarded message ----------
From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
Date: Wed, 3 Jul 2013 10:38:12 +0300
Subject: Urafiki wa JK na Uhuru Kenyatta kulikoni?
To: mabadiliko@googlegroups.com

Nimekuwa nafuatilia ukaribu wa Rais wetu na Rais wa Kenya toka kipindi
kile wakati Uhuru alipokuja Ikulu kutafuta sapoti ya JK ili ashinde
kiti hicho.
Nilishuhudia JK akiwa Kenya ktk kuapishwa kwa UK na alikaa beneti
kabisa na Rais huyo mpya wa Kenya. Na muda mfupi baada ya kutangazwa
ameshinda, walikutana kwa faragha arusha (Rutto na jk).
Juzi hapa UK alialikwa na Mu7 Uganda, wakakutana na Kagame na Kiir
wakapanga mikakati ya kuunda umoja wa kiuchumi wa pa1 bila kumuona JK
au muwakilishi. Kulikoni? Haya, Juzi wakati mkutano wa global
partneship 2013 ukiendelea, Ombeni Sefue, Katibu mkuu kiongozi
aliwambia wajumbe kuwa pa1 na viongozi wengi walioalikwa, UK pia
alialikwa na yuko njiani anakuja. HAKUONEKANA! Kulikoni?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments