Raia wa Misri wamejikuta katika mgawanyo mkubwa na mbaya zaidi kuliko ule uliopelekea kumwondoa Mubaraka madarakani. Wakati wa kumwondoa Mubaraka wananchi wote waliungana na kuandamana mitaani kwa siku kadhaa hadi pale Mzee Mubaraka alipoona hakuna njia zaidi ya kuachia madaraka kwa jeshi.
Ni hapo chama chenye msimamo mkali wa kiislamu "Muslim Brothehood" kikajikuta ndicho chama pekee kilichokuwa kimejiimarisha ingaawa kwa siri kutokana na kupigwa vita ndani na nje.
Muslim Brothehood ilifanya juhudi zote na kufuata demokrasia na kuchaguliwa kidemokrasia lakini hata baada ya kuchaguliwa, Dunia "Wakubwa" ....................................
http://goldentz.blogspot.com/2013/07/misri-ni-demokrasia-lakini-si-kwa.html
-- Ni hapo chama chenye msimamo mkali wa kiislamu "Muslim Brothehood" kikajikuta ndicho chama pekee kilichokuwa kimejiimarisha ingaawa kwa siri kutokana na kupigwa vita ndani na nje.
Muslim Brothehood ilifanya juhudi zote na kufuata demokrasia na kuchaguliwa kidemokrasia lakini hata baada ya kuchaguliwa, Dunia "Wakubwa" ....................................
http://goldentz.blogspot.com/2013/07/misri-ni-demokrasia-lakini-si-kwa.html
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments