[wanabidii] Mbunge CCM Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa - Mwanzo

Thursday, September 27, 2012
"Tulipomaliza kuchaguana, akaja Mama Vullu (Zainab Vullu), akapewa nafasi ya kuzungumza, akatwambia kwamba, Oktoba 3 mwaka huu, baadhi yetu tukalale nyumbani kwake na wengine tukalale katika ofisi za chama chetu hapa Kisarawe kwa ajili ya kufika mapema kwenye uchaguzi wa jumuiya yetu utakaofanyika Oktoba 4 katika Ukumbi wa Filbert Bayi.
http://wotepamoja.com/archives/7502#.UGR1HhYjN04.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments