[wanabidii] MFUMO WETU WA KUPATA WAGOMBEA UBUNGE

Tuesday, November 13, 2012

MFUMO WETU WA KUPATA WAGOMBEA UBUNGE


Ndugu zangu


Wakati Kenya inaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo mwakani , kuna mambo kama watanzania tunapaswa kujifunza au angalau kuiga kama inawezekana , kwa leo tunaweza kujifunza kuhusu upatikanaji wa wagombea ubunge .


Katika moja ya magazeti ya nchini humo nimeona tangazo la kuwataka vijana mbalimbali wanachama wa ODM kuomba kuteuliwa kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi ujao moja ya masharti ni kama yafuatayo .


1 – Awe raia wa Nchi hiyo ( Athibitishe )

2 – Awe cleared na Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu ya nchi hiyo

3 – Awe cleared na mamlaka ya kodi ya nchi hiyo .

4 – Awe hana kesi yoyote ya jinai mahakamani .

5 – Vyeti vyake vya shule viwe cleared .

 

 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments