duh...hapa si kulipizana visasi kweli jamani....kwanini asimalizie muda wake sasa huyu wa katibu mkuu then watangaze nafasi watu waaplai, nae malizi kama ni mtu wa visasi hatofika mbali unless atoe sababu why? sioni logic ya kumtimua mtu kama hajaenda kosa, kama ana kosa atoe hadharani kua anaisafisha tff kutona na tatizo hili hili na hili , asikanze kukurupusha weatu kiivyo bana....mimi nahisi kuna katatizo la visasi, au nisaidiwe hapo wakuuu>
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
On Monday, November 4, 2013 2:03 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemteua Bw. Boniface Wambura kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa TFF. Uteuzi huo ni kuanzia Novemba 2 mwaka huu.
Aidha aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah ameagizwa aende likizo ya malipo hadi atakapomaliza mkataba wake.
Kamati ya Utendaji inaviomba vilabu, vyama vya wilaya, vyama vya mikoa, vyama shiriki na wadau wote kumpa ushirikiano Bw. Boniface Wambura katika utekelezaji wa majukumu yake.
Jamal Malinzi
Rais TFF
Novemba 3, 2013
-- Aidha aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah ameagizwa aende likizo ya malipo hadi atakapomaliza mkataba wake.

0 Comments