[wanabidii] Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba (?) - Mwanzo

Tuesday, November 13, 2012

Via Jamiiforums Ingawa hakuna kanuni inayohitaji mgombea Urais (CCM) kuwa mjumbe wa NEC, imekuwa ni utamaduni kwa kigezo hiki kutumika, na itaendelea kuwa hivyo for the next foreseeable future; Hii ndio sababu kubwa kwanini Chaguzi za NEC mara zote huwa na pilika pilika nyingi na ushindani wa hali ya juu; Hapo nyuma niliwahi kuja na mada iliyojadili kwanini bila ujumbe wa NEC, Urais Kupitia CCM haiwezekani, na kila siku zinavyozidi kwenda mbele, hoja hii inazidi kuwa na mashiko;
January na Membe walikuwa 'Very Smart' kuamua to take the risk na kugombea Ujumbe wa NEC kupitia zile nafasi kumi za kifo i.e. NEC Ngazi ya taifa; Ingawa uamuzi huu ulikuwa too risky, suala ambalo wengi waliikimbia na kuamua kwenda kujaribu bahati zao huko wilayani, inaonyesha Membe na January walifanya a Cost – benefit Analysis na hatimaye kuona kwamba, it is more of a political asset than a liability, either for 2015 or beyond, hasa iwapo Chadema itachukua nchi 2015; Faida kubwa ya kuchukua uamuzi huu ni kwamba – whether you lose or win, tayari jina lako litakuwa sio geni miongoni mwa waamuzi wa nani awe mgombea Urais kupitia CCM 2015, ambao ni Wajumbe Mkutano Mkuu wa Taifa (CCM);

Wajumbe wa sasa watamaliza muda wao mwaka 2017, kwahiyo, ni wajumbe hawa hawa waliowapitisha Membe, January, Lukuvi, Wassira, Shigela, Mathayo, Msome, Nchemba, Mukama na Mukangara, ndio watakaopigia kura jina la mgombea Urais (CCM) 2015; Nje na Member na January, wengine waliobakia ni aidha sio Presidential Material au umri hautawaruhusu; Suala hili la Presidential Material ni relative na tutalijadili baadae;


http://wotepamoja.com/archives/10333#.UKIAU8dXYgg.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments