[wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU

Wednesday, February 17, 2016
--
Kumekuwa na wimbi la kukamata wananchi wa Ethiopia wakiwa njiani kuelekea Afrika ya Kusini kutafuta maisha.
Wanakamatwa wakiwa wanasafirishwa kama mizigo. Wanatakatwa wakiwa na jnjaa na magongwa. Wanakamatwa wakiwa wamejificha vichakani.
Kibaya sana wanapokamatwa hawalalamiki. Shida ni paqle wanapoambiwa 'mtarudishwa makwenu'. Wanalia na kugaragara.
Kukamatwa kwa watu hawa ni kwa mujibu wa sheria zetu. Mtu akitaka kuingia nchini lazima apitie taratibu zote za uhamiaji. Hawa hawafuati taratibu hizi.

Ukigeuka upande wapili ukawaangalia wasafiri hawa hawana tofauti na wanyama wa serngeti ambao wao huhama kila vipindi. Huhama kufuatana na mabadiliko ama ya huku wanakotoka au huko wanakokwenda.
Binadamu wenzetu hawa wana mateso makubwa ya kiuchumi nchini mwao. Matatizo yanawakuta wakati kimataifa nchi yao ni moja kati ya mataifa yenye GDP inayokua. Ukosefu wa haki katika mgawanyo wa mapato ya taifa wananchi wake wanaishia kuona maendeleo ya barabara na viwand kumbe wanafaidi watu wachache.

Kuendelea kuwakamata watu hawa na kuwaatangazia walimwengu kuwa tumekamata wahamiaji haramu nim kuendelea kuwatesa binadamu wenzetu.
Ipo haja serikali yetu kuytafuta mbadala. Kuna uwezekano kuongea na Ethiopia kujua chanzo cha raia wake kuhama hivi na katika mazingira haya.
Lakini hapa nchini kuna ofisi za UNHCR. Watu hawa wanaweza kupewa hadhi ya wakimbizi wakatunzwa na hii inatosha kuishtua Ethiopia.

Kuendelea kuwakamata ni kuwatesa bure.
Ndivyo nionavyo.

Elisa

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments