[wanabidii] NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAWLID NA HERI YA KRISMASI

Friday, December 25, 2015

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAWLID NA HERI YA KRISMASI



Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani
inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricaband

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments