[Mabadiliko] Historia Ya Kombe La Dunia ( I)

Saturday, June 22, 2013


Na Maggid Mjengwa,

WAKATI vugugu la kuelekea kwenye Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil likipamba moto, ni vema tukaipitia historia ya mchezo wa kandanda ili, kwetu wapenzi wa mchezo huo, kujikumbusha historia yake.

Naam, mchezo  wa kandanda una historia ndefu. Mwaka 1863 ndipo pale kandanda ya mpangilio  ilipoona mwanga wa dunia. Hii ni baada ya nchi ya Uingereza kuutengenezea
mchezo huo sheria , kanuni na taratibu za kuucheza.  Kabla ya hapo,  kandanda
ulikuwa ni mchezo uliochezwa bila mpangilio maalum. Kulikuwa hakuna
sheria wala kanuni zilizowekwa juu ya mchezo huo.

Ni kwa sababu hii, Uingereza hadi leo hii  inajiona kuwa ni  "Mama wa Kandanda". Matukio kadhaa ya...Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3427-historia-ya-kombe-la-dunia-i.html#.UcWcTZyNCAg

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments