[wanabidii] Fwd: Meya wa Mji wa Kampala,Uganda arushiwa cha machozi na FFU

Saturday, June 22, 2013


Meya wa mji wa Kampala,karushiwa cha machozi 
 Kalazwa Hospitalini !

FFU wa Uganda   lawamani,

Meya wa mji wa kampala bwana Erias Lukwago, amelazwa hospitalini nchini Uganda, baada kutumbukizwa cha machozi ndani ya gari lake,inasemekana
polisi wa kutuliza ghasia FFU nchini Uganda ndio waliosika na kutumbikiza
kombora la kutoa machozi katika gari la mheshimiwa huyo.
Walioshudia tukio hilo wanasema mmojawapo wa FFU a.k.a( kina ras makunja)
alitumbikiza kombora katika gari la mheshimiwa na kumsababishia maumivu makali.
Meya huyo alikuwa katika maandamano mjini kamapala pata picha kamili at

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments