WAKATI WATANGAZA NIA YA MBIO ZA URAIS WAFIKIA 27 !
Ngoma Africa Band wao wanaendeleza gwaride la kupakua Songs mpya!
Tetesi zimevuja kuwa wanatikisa tena na za Kumuaga JK
Kuna tetesi kuwa bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU yenye makao nchini ujerumani imepakua jikoni nyimbo mbili kali zenye ujumbe
mzito za kumuaga Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kumaliza muda wake mwishoni mwaka huu 2015,
Udaku umedaka tetesi hizo kuwa wakati baadhi ya wanasiasa wapatao 27 wa CCM na wapambe wakiwa katika heka heka za kutangaza nia ya kuingia ikulu 2015 ,
bendi ya Ngoma Africa chini ya Kamanda Ras Makunja wao bila kuyumbishwa wanakamilisha kazi kwa kuhakikisha Rais Jakaya Kikwete anapewa heshima yake ya kupigiwa saluti kwa njia ya muziki,na Ngoma Africa band imekuwa bendi ya kwanza kabisa kuachia CD yenye nyimbo mbili moto kabisa za kumuaga rais
Kikwete. wachunguzi wa mambo wamesema nyimbo hizo ni utunzi wake kamanda Ras Makunja akiimba kwa kumshikisha afande Chris-B ambaye pia mpiga solo machachari wa bendi hiyo na huku kikosi kazi kizima cha Ngoma Africa band kikisindikiza kwa mdundo wenye moto mkali.
Jitihada za kumpata kiongozi wa ngoma africa band kamanda Ras Makunja kwa njia ya simu zimeshindikana kwa kuwa amezima simu.tumejaribu kumuandikia at
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments