[wanabidii] Greetings Thursday, January 03, 2013 Mpendwa mwanangu. Pokea salamu za upendo kutoka kwangu. Ninaamini umevuka mwaka salama. Mimi pia ninamshukuru Mungu. Basi tuendelee kuombeana tusisahau kwani sala ni Ngao ya maisha yetu. Bis morgen. Share this :
0 Comments