Kwa niaba ya Jumuiya wa Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) kwa kushirikiana na Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, napenda kuwakaribisha watanzania wote kwenye kongamano la Muungano lenye mada kuu 'Tutafakari kuhusu Muungano Wetu na Mustakabali wake".
Kongamano hilo litaanza saa 7.30 mchana na kumalizika saa 12 jioni ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Utakuwa mjadala huru na wa wazi kabisa utakaowahusisha wanazuoni na wataalamu wa masuala ya kisiasa nchini. Wote mnakaribishwa. Karibuni sana.
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135
"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".

0 Comments