[wanabidii] Ngoma Africa Band a.k.a FFU, kusherekea miaka 20

Sunday, August 04, 2013

FFU wa Ngoma Africa band kusherekea miaka 20 ndani International African Festival Tubingen,Ujerumani

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU
yenye makao yake nchini ujerumani.Muzimu huo wa muziki "Ngoma Africa band,utasherekea miaka 20 tangu ianzishwe mwaka 1993 na kiongozi wake 
mwanamuziki Ebrahim Makunja almaarufu kamanda Ras Makunja wa FFU.

Bendi hiyo yenye wapenzi,washabiki na wadau lukuki katika kila kona duniani
itasherekea miaka 20 ndani ya International African Festival Tubingen 2013,katika
viwanja vya Fest-platz huko Tubingen,Ujerumani,ambapo wapenzi wa bendi hiyo
wapewa siku mbili kuanzia tarehe 9 na 10.08.2013 kupata burudani ya bendi hiyo.

Ngoma Africa Band a.k.a FFU imetajwa kuwa ndio bendi ya kiafrika hiliyoweza kudumu kwa muda mrefu katika medani ya muziki barani ulaya,na kuweza kujizolea wapenzi na washabiki katika kila kona.
Washabiki na wadau wa bendi hiyo ndio wanao jigamba kuwa wanamiliki na
kuipa nguvu bendi hiyo na kiongozi wa bendi hiyo Ras Makunja na wanamuziki
wa bendi ni watumishi tu wanao watumikia washabiki na wapenzi wa Ngoma Africa.
Tunaitakia kila la heri Ngoma Africa band tusikose kuwasikiliza FFU at

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments