[Mabadiliko] Tafadhali Usininukuu; Ni Bahati Mbaya...

Saturday, August 03, 2013
"Ni bahati mbaya, kuwa  baadhi ya wanasiasa, viongozi wa dini, wanahabari wetu  na hata wanaojiita wanaharakati, kuwa wamekuwa ni watu wenye  kuogelea kwenye  mapovu. Wanataka Watanzania  pia waogelee kwenye mapovu hayo.

 Bahati njema ni kuwa, Watanzania  wa leo si wa jana. Watanzania wameanza kuzama kwenye kina cha maji. Watanzania wanachambua pumba na mchele. Na itakuwaje basi Watanzania walio wengi wakianza kuwapuuza hao wenye kuogelea kwenye mapovu?"

Maggid

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments