MWISHO UMEKARIBIA
Je, sisi kama Wakristo tuyadharau mambo haya? na tunatakiwa kuitikia kwa namna ipi? nimeongeza andiko kutoka ufunuo 13:15-18 mwishoni kwa makusudi ya nukuu.
(Rais Obama dhidi ya Ufunuo 13:15-18)
(Rais Obama dhidi ya Ufunuo 13:15-18)
Bunge au Seneti ya Marekani imepitisha mswada wa afya wa Obama kuwa sheria na utaanza kutumika tarehe 13/03/2013. Mswada huu utawataka Waamerika wote
kupandikizwa chip yaani kifaa (kibanzi/upapi) kinachotumia mionzi ya redio kwa utambulisho (Radio Frequency Identification-RFID) ili kuweza kupata huduma za afya. Kifaa hiki kitapandikizwa kwenye paji la uso au mkononi.

Hii ni kutimiza unabii uliopo katika Kitabu cha Ufunuo 13:15-18 unaohusu CHAPA YA MNYAMA! Je, bado una mashaka kuhusiana na siku za mwisho? JIANDAE!
Unyakuo umekaribia! Uwe tayari usije ukakutwa hujajiandaa. Ishi maisha yaliyo safi. omba zaidi, hubiri INJILI kwa wengine ili uokoe roho zao. Ufunuo 13 unatimia mbele ya macho yetu. Wengi bado hawajalitambua hilo.

(1) Kwa nini hicho kifaa kinapandikizwa pale pale ambapo Biblia inataja kitakuwepo? Kwa nini mkononi na kwenye kipaji cha uso? Kwa nini siyo mahali pengine popote?
(2) Kwa nini kinaunganishwa na akaunti yako ya benki?
Kumbuka Biblia inasema hutakuwa na uwezo wa kununua au kuuza kama huna hiyo chapa. Na Je, unafahamu! Kifaa hicho kinaunganishwa na taarifa zako zote zinazohusiana na pesa. Kinachouma moyo wangu kuliko yote ni kwamba watu wengi waliopo kanisani hawatanyakuliwa iwapo Yesu atakuja sasa? Wengi hawajui kwamba wakati umekaribia.Wala usiniambie kwamba haya ni maendeleo tu ya kiulimwengu, au teknolojia tu, au kitu cha kufikirika tu kama ndoto.
Kama kuna eneo lolote katika maisha yako ambalo haliko sawa na neno la Mungu, ni wakati muafaka kugeuka kabisa haraka na kumrudia Mungu, tubu na jiandae maana mwisho umekaribia sana SASA...Jehanamu siyo mahali pazuri kabisa, na ukweli ni kwamba ni mateso ya milele...tafadhali, jiunge nami kupiga mbiu hii. Tuma kwa kila mtu unaye mfahamu....
TAFADHALI fanya sehemu yako katika hili.
TAFADHALI fanya sehemu yako katika hili.
UFUNUO 13:15-18
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments