Na Happiness Katabazi
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemfutia rufaa ya Kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Rick Mahalu na Grace Martin Waliokuwa wakitetewa na Mawakili wa kujitegemea Beatis Malima, lMgongolwa,Cuthbert Tenga na Mabere Marando , iliyokuwa imekatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), dhidi ya Mahalu na Grace Kapinga hukumu ya iliyotolewa na Aliyekuwa Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam ya Agosti 9 Mwaka 2012,Elvin Mugeta ambayo hukumu hiyo iliwaachiria Huru wa jibu rufaa ambao walikuwa wakikabiliwa na Kesi ya uhujumu Uchumi wa zaidi a Euro Milioni mbili Katika ununuzi wa Jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Italia.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments