[wanabidii] NETANYAHU ALITUTUKANA AU ALISEMA TULIVYO

Wednesday, November 26, 2014
Habari,

Nimesoma habari ya Netanyahu alitutukana ama amesema tulinyo na haya yafuatayo ndio nafahamu.

Habari/speech ilitolewa na PW Botha aliye kua Rais wa Africa ya kusini miaka ya semanini.
Niliisoma habari hii Mwaka 2005 nikiwa Chuo kikuu Cha Sokoine

Hi speeh imebadilishwa na watu kwa nia mbaya. ukisoma habari halisi huwezi kuona neno Arabs so haya maneno yameongezwa kwa sababu wanazojua wenyewe watungaji.
Jamani tusomeni

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments