[Mabadiliko] Wanafunzi wa vyuo vikuu na uchaguzi wa serikali za mitaa

Wednesday, November 26, 2014
Wakuu nisaidie hili,

Kuna taarifa kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu hawatakiwi kujiandikisha
wala kupiga kura isipokuwa katika maeneo wanayotoka.

Hali ikoje kwingine?? Wanafunzi wa chuo kikuu kwa kawaida ni watu
wazima na kwao ni pale wanapoishi, na kwa minajili ya uchguzi huu,
makazi kwa sasa ni chuo miaka 3-4 kisha kazi popote ambapo nako
watapiga kura.

Afisa anayeandikisha anadai kuwa...kuna maelekezo hayo toka ngazi za
juu....kuwa wanafunzi wasiandikishwe na kwa hiyo wasipigie kura!

Anna

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com


For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAA304o5fEHRi-mf%3DuOGieYN9NwPPYm-LbkRCvcJE65-3SXF%3Dog%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments