Katibu mkuu wa ACT-Tanzania Mzalendo Samson Mwigamba ametangaza ratiba ya Mkuatano Mkuu Maalum.
Mwigamba amesema Mkutano Mkuu Maalum utafanyika Dar-es-salaam tarehe 20/11/2014.
Wajumbe wamkutano huo watawasili tarehe 18 na tarehe 19 watajiorodhesha makao makuu na kisha tarehe 20/11/2014 ndipo utafanyika mkutano huo.
Pindi wajumbe watakapofika watajulishwa hoteli za kufikia na ukumbi gani utafanyika Mkutano Mkuu Maalum wa kihistoria ndani ya ACT-Tanzania.
ACT-Tanzania Taifa
Taifa Kwanza Leo na Kesho.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qgr_mg9DJb1C007ZCAxb2pi%3DnwvM9KG5cam_dpz%3Dn8jEQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments