Ndugu zangu ,
Leo Mchana nimeshambuliwa na mtu mmoja wakati natoka chuo , huyu mtu alipanda na mimi gari pale utawala akakaa siti ya nyuma yangu wakati mie nashuka kituo cha mpakani nae akatoka huko alipoka akanipiga kwa nyuma eneo la kichwani na mgongoni , mwenzangu niliyekuwa nae nae akatishwa .
Sikujibu chochote zaidi ya kuuliza kama ana akili timamu
Kilikuwa kitendo cha kushangaza sana kwangu sikujibu chochote wala kufanya chochote zaidi ya kushuka kwenye gari na kwenda kutoa taarifa sehemu husika ili sharia ichukuwe mkondo wake .
Nilishuka kwenye huo usafiri nikaenda kutoa taarifa kituo cha polisi na kutoa taarifa kwa uongozi wa mabasi yanayoenda chuo kupitia ubungo kisha nikaelekea kupata huduma nyingine za kitabibu .
Jamani tujihadhari , hali ni mbaya sio kama ile ya miaka ile .
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments