MHANDO ANA KABILIWA NA JUMLA A MAKOSA MAWILI YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA KWA KUTUMIA MADARAKA YAKE GIBAYA KWAKUIPATIA TENDA KAMPUNI YA MKE WAKE YA SANTA CLARA SUPPLY COMOMPANY LTD,NA MKEWE MHANDO , EVA MHANDO NAE ANAKABILIWA NA JUMLA YA MAKOSA SITA YAKIWEMO MAKOSA YA KUGHUSHI, KUWASILISHA NYATAKA ZILIZOGHUSHIWA, NA KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA DANGANYIFU SH.MILIONI 31,747,000.MAHAKAMA IMETOA MASHARTI YA DHAMANA KILA MSHITAKIWA AWE NA WAFHAMINI WAWILI AMBAPO KILA MSHITAKIWA ASAINI BONDI YA SH.MILIONI NANE, WASITOKE NJE YA MKOA BILA RUHUSA.UPANDE WA JAMHURI UMEOMBA UKAAKIKI BARUA ZA WADHAMINI !KESI IMEARISHWA HADI SAA SABA MCHANA LEO.HAPPINESS KATABAZI
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments