Habari wanabidii, leo katika kipindi chan hot mix ya east africa tv, nahitaji raia yoyote wa Kenya ambaye ana ujuzi na mchakato wa katiba uliofanyika nchini kwake kama sisi tunavyoendelea na machakato huo hapa nchini; kwa yeyote ambaye yupo tayari au ambaye anamjua Mkenya mwenye kuweza kufanya ''analysis'' ukizingatia leo wakenya wanakuja bungeni ku-share uzoefu wao, basi awasiline na mimi kwa simu namba 0755 56 86 53 au 0787 56 85 53kabla ya saa 5 leo asubuhi. Asante;
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments