Ndugu zangu
Sijawahi kusoma popote au kusikia kiongozi wowote wa serikali au wa vyombo vya usalama akiongelea suala la ulipaji wa fidia kwa wale wanaoumia , kupoteza mali au kufariki kwenye matukio ya kigaidi kama yale yaliyotokea ubalozi wa marekani nchini miaka kadhaa iliyopita , mkoani arusha kwenye mkutano wa chadema pamoja na kanisani .
Ni vizuri serikali kuweka suala la fidia kwa wale wanaokumbwa na matatizo yanapotokea mambo kama haya .
Tumeona mara kadhaa watoto wa wahanga wa matukio haya au ndugu zao wakilalamika kwenye maeneo kadhaa kuhusu hatima yao baada ya matukio haya na mbaya ni pale maadui wanavyoweza kutumia fursa hii kufanya recruitment au kuendelea kutengeneza chuki zaidi kati ya makundi ya kijamii .
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments