[wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA

Tuesday, August 25, 2015
--
Niliwahi kusoma mahala kuwa Digree ya kwanza ya Edward Lowasa, Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni ya sanaa.
Jana 24 August 2015 yeye na mgombea mwenza walijitokeza stand ya daladala Gongo la mboto na wakapanda daladala na kulipa nauli.
Ikatafsiriwa na watu kuwa hiyo ni kuonyesha kuwa yeye ni mtu wa watu maana amepanda daladala. Mimi sikuona hivyo. Nilitaka kufikiri kuwa anataka kuyaelewa matatizo ya watu. Nikasita kuamini hivyo. Ingekuwa hivyo kama angekwenda huko kabla ya kugombea ili tufikiri kuwa alipoyaona matatizo ndipo akaamua kugombea. Wakati nikitafakari nikasikia kuwa leo ameibukia sokoni Tandale. Nimeona picha akinywa chai (kama alikuwa haigizi).
Nimeyajumlisha nikashindwa kukubali kuwa hiyo ni dalili ya kuonyesha kuwa huyu ni kiongozi bora. jambo ambalo wengi tunaweza kukubaliana ni kuwa anafanya maigizo.
Dr Mwakyembe wakati anajaribu treni za dar Es salaam aliwahi kusafiri nayo. Rais wa Zanzibar wakati ule Aboud Jumbe aliwahi kusafiri na train nadhani kutoka Dar mpaka tabora. Alikuwa na sababu. alikuwa kazini.
Hii ya Lowasa sio. Na kama kuna mtu akivutwa na hilo akaamua kumpa kura huyo mtu ana matatizo makubwa.
Sitarajii kusikia kuwa sasa anachangamana na watu kwa hiyo anafaa. najua wasanii wengi wamejaribu kuingia siasa. Wamegombea wengi . Wengine wamekosa nafasi za kuendelea mbele. Kwa nafasi za ubunge na udiwani twaweza kuwajaribu wakachangamshe mijadala bungeni na mabaraza wa madiwani.

Elisa

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments