[wanabidii] Semina ya ujasiriamali kwa watu wote bila malipo

Monday, March 11, 2013


Wapendwa,

Napenda kuwaalika kwenye semina ya ujasiriamali kwa watu wote,itakayoendeshwa na Mshauri wa biashara Charles Nazi, kwa kushirikiana na Wawezeshaji kutoka nje ya Tanzania, siku ya jumamosi tarehe 16/3/2013, saa 4.00 asubuhi mpaka saa 6.00 na saa 8.00 mchana mpaka saa11.00 jioni .Semina hiyo itaendeshwa kwenye Jengo la Josam House lililoko Mwenge.hakutakuwa na  Kiingilio.  Mada itakayofundishwa ni, namna ya kuanzisha biashara endelevu kwa mtaji mdogo. Waambie  na wenzako.

Kwa wale ambao wanataka kuhudhuria wapige simu au watume ujumbe simu namba 0755394701

CHARLES NAZI
Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara;
http://www.squidoo.com/mshauricharles

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments