[Mabadiliko] MADA YA LEO RADIO MARIA

Tuesday, June 17, 2014
Karibuni tena katika kipindi chenu mkipendacho cha MARIDHIANO kitakachorushwa RADIO MARIA kuanzia saa tatu kamili usiku. Mjadala wa leo ni WAZAZI WAVURUGA NDOA YA KIJANA WAO, WAPORA HATI ZA NYUMBA NA MKE ATISHIWA KUUAWA BAADA YA KUHOJI UBABE WA WAKWE. Waweza kusikiliza kupitia mtandao wa www.radiomaria.co..tz au www.radiomaria.org

Share this :

Related Posts

0 Comments