Kuvunjwa kwa POAC: Nini Hatma ya UDA, TANESCO n.k?
Taarifa kutoka Bungeni Dodoma zinathibitisha kuvunjwa kwa Kamati ya Kusimamia Mashirika ya Umma (POAC). Imeunganishwa na Kamati ya Mahesabu (PAC) kuunda kinachoitwa Kamati ya Bajeti. Hili linatokea katika kipindi ambacho kuna hitaji kubwa la kufuatilia ufisadi kwenye mashirika haya. Kama inavyoonesha katuni hiyo hapa juu safari ya kuelekea 2015 inazidi kuwa tete na tata. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
--
Posted By Blogger to UDADISI: Rethinking in Action at 2/08/2013 08:11:00 PM
Related Posts
- [wanabidii] SPEECH BY H.E. HON. UHURU KENYATTA,C.G.H., PRESIDENT AND COMMANDER-IN-CHIEF OF THE DEFENCE FORCES
- [wanabidii] URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA
- [wanabidii] Car Thieves Gone Digital!
- [wanabidii] A BIG BIG THANK YOU / PERIS KWAMBOKA.
- [wanabidii] President Uhuru Kenyatta’s inauguration speech
- [wanabidii] Mwigulu kila mahali ..........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments