[wanabidii] MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013

Saturday, January 19, 2013

Ndugu wanabidii
Mzimu wa Gas unaendelea kuitafuna nchi, ukianzia huku Mtwara. Leo wananchi wamehamasishana Wilaya zote, za Lindi na Mtwara ili kupinga GAS ISITOKE  Mtwara.

Hakika Elimu na makubaliano yanahitajika. Viongozi wanaohusika watafute Hekima ya hali ya juu kutatua tatizo hili. Tukiendelea kusema ni wahuni watafanya mambo ya kihuni na tutapata hasara kubwa zaidi!
sylvanus

Share this :

Related Posts

0 Comments