HATIMAYE aliyekuwa mhariri wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda na Mhariri Mtendaji wa Mwananchi, Theophil Makunga wameachiwa huru na Mahakama ya Kisutu muda huu. Wahariri hao pamoja na mwandishi wa makala Samsoni Mwigamba walifunguliwa mashitaka ya uchochezi tangu mwaka 2011, kutokana na makala iliyoandikwa na Mwigamba ikisema 'waraka kwa askari wote wa Tanzania' na kuchapwa katika gazeti la Tanzania Daima.
Related Posts
- [wanabidii] Africa Update
- [wanabidii] Africa Update
- [wanabidii] Africa Update
- [Mabadiliko] Ni mara ngapi tunakosa Baraka za MUNGU kwa sababu zinakuja tofauti na sisi tulivyotaka?
- [wanabidii] Press Releases: Situation in Ukraine
- [wanabidii] Large-scale attacks by domestic militant groups unlikely but sectarian violence increases in Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments