Utabili wa Marehem IDD AMIN kuhusu akina OBAMA,Powell na Condeleezza Rice
Wengi tulimsikia Marehem Dikteta Idd Amin kwa sifa zake ya ukatili na unyama wa utawala wake,
Lakini upande wa pili wa Dikteta Amin ni Utabili wake ! wa kutabili kuwa Amerika itatawaliwa na
viongozi wa ngazi za juu Weusi ! tunapoangalia video hii ya Utabili wa nduli Idd Amin !
ndio mambo yalivyo sasa huko Amerika
0 Comments