







UNFPA Yakutanisha Wadau wa Kupinga Ukatili na 'Amani Nyumbani Forum'
[caption id="attachment_64374" align="alignnone" width="761"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0082.jpg" alt="Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana akizungumza kabla ya kuzinduwa rasmi kongamano." width="761" height="600" class="size-full wp-image-64374" /> Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana akizungumza kabla ya kuzinduwa rasmi kongamano.[/caption][caption id="attachment_64372" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0066.jpg" alt="Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem akizungumza kwenye kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam." width="800" height="507" class="size-full wp-image-64372" /> Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem akizungumza kwenye kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_64371" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0055.jpg" alt="Sehemu ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam." width="800" height="505" class="size-full wp-image-64371" /> Sehemu ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_64370" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0037.jpg" alt="Meza Kuu katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana, Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga na Ofisa Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Zambia, Elizabeth Phiri wakiwa katika kongamano hilo." width="800" height="450" class="size-full wp-image-64370" /> Meza Kuu katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana, Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga na Ofisa Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Zambia, Elizabeth Phiri wakiwa katika kongamano hilo.[/caption][caption id="attachment_64368" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0010.jpg" alt="Baadhi ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere." width="800" height="497" class="size-full wp-image-64368" /> Baadhi ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.[/caption][caption id="attachment_64373" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0067.jpg" alt="Baadhi ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere." width="800" height="442" class="size-full wp-image-64373" /> Baadhi ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.[/caption][caption id="attachment_64375" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0107.jpg" alt="Mwakilishi wa Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi akizungumza na washiriki wa kongamano hilo. " width="800" height="525" class="size-full wp-image-64375" /> Mwakilishi wa Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi akizungumza na washiriki wa kongamano hilo.<br />[/caption][caption id="attachment_64375" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0107.jpg" alt="Mwakilishi wa Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi akizungumza na washiriki wa kongamano hilo. " width="800" height="525" class="size-full wp-image-64375" /> Mwakilishi wa Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi akizungumza na washiriki wa kongamano hilo.<br />[/caption][caption id="attachment_64376" align="alignnone" width="800"]<img src="
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_0001.jpg" alt="Baadhi ya vikundi vya maigizo vikiigiza katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere. " width="800" height="567" class="size-full wp-image-64376" /> Baadhi ya vikundi vya maigizo vikiigiza katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere. [/caption]
--
___________________________________________________________________________________
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
Share this :
0 Comments