[wanabidii] NGOMA AFRICA BAND JUKWAANI MJINI BREMEN.UJERUMANI LEO JUMAMOSI 7 NOV

Friday, November 06, 2015

JUMAMOSI 7 NOV 2015 !

NGOMA AFRICA BAND JUKWAANI MJINI BREMEN.UJERUMANI 


Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani ,itatumbuiza mjini Bremen,Ujerumani
Leo  jumamosi 7 November 2015,katika ukumbi wa Weserterrasse, uliopo
mtaa wa Osterdeich 70b, D- 28205 Bremen kuanzia saa usiku, onyesho hilo limeandaliwa na Pan-African Org tawi la Bremen ambalo linasherekea miaka 10 ya kuanziswa kwake. bendi ya Ngoma Africa band kwa sasa wanatamba na CD yao mpya La Mgambo na pia song lao jipya waliloliachia juzi tu "Mapenzi ya Pesa" nyimbo zote hizo zinapasua anga ya kimataifa
unaweza pia kusikiliza at www.ngoma-africa.com



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments