Atembea kwa miguu kutoka Ikulu, avamia Wizara ya fedha, Wafanyakazi washangaa. Akagua ofisi chumba kwa chumba.
Siku ya Kwanza baada ya kuapishwa, Rais Dk. Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza wizarani na kukagua ofisi kwa ofisi, kakuta Maofisa wengi wa Serikali hawapo kazini.

0 Comments