Kama ilivyokuwa kwenye Ilani ya CCM na namna ilivyonadiwa na rais wetu Dkt Magufuli kuwa, serikali ya awamu ya tano itakuwa ya viwanda. Siku la jana, November 18 serikali imetoa tangazo hili kwa wamiliki wa sasa wa viwanda ambavyo vilibinafsishwa kutoka serikalini.
Tangazo lenyewe ni kama linavyoonekana pichani. Jisomee mwenyewe:
Tangazo lenyewe ni kama linavyoonekana pichani. Jisomee mwenyewe:
0 Comments