[wanabidii] WANAJESHI WAMSHAMBULIA MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA KIMBIJI/KIJAKA NA KUMCHIMBIA KABURI ANUSURIKA KIFO

Sunday, October 18, 2015












WANAJESHI WAMSHAMBULIA MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA KIMBIJI/KIJAKA NA KUMCHIMBIA KABURI ANUSURIKA KIFO,
Taarifa za kusikitisha ! siku ya 14/10/2015 baadhi ya wanajeshi wa JWTZ walifika nyumbani kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa wa Kijaka kata ya Kimbiji ,wilaya Temeke na kumchukua mwenyekiti huyo Bw.Biko ili aende akahakiki eneo la raia ambalo wanajeshi walikuwa wakimzuia asifanye shughuli zake baada ya kufika huko wanajeshi waliwafanyia unyama bw.Biko paamoja na raia wengine kwa kuwapiga na na kuwachimbia makaburi na kuwatishia kuwazika wangali hai,hali ya mwenyekiti huyo na raia mbaya sana ,tukio hili limeripotiwa polisi na kwa viongozi wengine wa kata ya Kimbiji,msaada zaidi unahitajika kulinda haki za raia Kimbiji.




Share this :

Related Posts

0 Comments