[wanabidii] FISI WANAOGOMBANIA MZOGA- WAAMINNIWE KUCHUNGA MBUZI???

Sunday, September 20, 2015
Ni mfano tu wa wanyama porini na machungani lakini nataka kuongelea mchakato wa uchaguzi unazoendelea.
Ni wazi tarehe 25 jioni tutaanza kusubiri Tume ya uchaguzi itwambie ukweli wa mahesabu kutokana na jinsi tulivyopiga kura.
Ukiuliza mtu kwa mazingira ya kawaida atasema mshindi kama sio CCM ni CHADEMA. Ukisha sema CHADEMA una maana ya UKAWA.
Japo CCM imejitahidi kuonyesha harakati za kujisafisha lakini kwa watu wengine hawaamini na wameishaamua kuwa potelea pote lazima iondolewe madarakani na njia pekee ni kupitia kura ya 25 October.
Wengine (nami nikiwemo) tunasema ilimradi CHADEMA imeonekana kutokuwa na mgombea toka zamani huenda isitusaidie sana. kwakuwa CCM imeonekana kutambua madhambi yake, basi ipewe madaraka. lakini iwe itakavyokuwa baada ya 25 October tunapata uongozi mpya.

Nataka kusema ninayoyafikiri muda.
Ndani ya UKAWA watu tulifikiri wamekubaliana kimyakimya mipango ya kuliongoza taifa kupitia coalision hiyo. Tulipofika mwisho wakachelewa kufanya uteuzi kwa sababu walikuwa hawajakubaliana.
Walipokubaliana na kugawanya majimbo tumeona migongano baina yao. Kuna wakati mgombea mwenza alishindwa kumnadi mgombea wa UKAWA kwa sababu kulikuwa na wagombea wawili badala ya mmoja.
Tumeona viongozi waandamizi wa NCCR mageuzi kuonyesha kutoridhika kwao na mwenyendo wa utekelezaji wa makubaliano ya UKAWA. Tumesikia Mwenyekiti wa NCCR mageuzi akiomba msaada wa Police baada ya kuchachamaliwa na viongozi wenzake ndani ya chama. badala ya kutetea maslahi ya chama akaanza kutetea CHADEMA mpaka wengine wakasema ni ujimbo.

Najiuliza: kama kutoelewana hukukukijitokeza baada ya uchaguzi itakuwaje?
Ieleweke kuwa vyombo vyetu vya dola haviwezi kutoa msaada. Mfano Chama kimoja kikienda mahakamani na kueleza kutoridhika na mwenendo wa chama kingine ndani ya UKAWA mahakama itataka kujua UKAWA ni nini? Kesi inaweza kuishia hapo kwa sababu kinachoshtakiwa (UKAWA) hakipo.
Mkanyagano ndani ya UKAWA au hata CHADEMA ni mbaya kuliko mkanyagano ndani ya CCM. wao wapo na wamekuwepo. hivyo ni rahisi kuamini kuwa watamaliza matatizo kama walivyowahi kumaliza mengine.
Kama UKAWA wanaanza kuraruana hivi wakikabidhiwa taifa inaweza kuwa fisi wanaogombania mzoga sasa uwaambie wakuchungie mbuzi.

Ninaamin i waTanzania watafanya uchaguzi na kuhakikisha CHADEMA na vyama vingine vina wabunge wa kutosha kuiwezesha serikali ya CCM inatengeneza mazingira mazuri ya vyama kujiunda vionavyo ikuwa ni pamoja na UKAWA kuwa na uhalali wa kisheria.
Pia baada ya hapo vyama vitafanya masahihisho makubwa ili kuhakikisha makosa kama yaliyofanywa na CHADEMA kuhusu mgombea yanasahihishwa.
Hapo chaguzi zitakazofuata zitakuwa zinaeleweka na mazingira bora kuuamini ugombea wowote.
 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments