[wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?

Thursday, August 06, 2015
Ndani ya mtandau huu toka tumeuanza matusi yanakemewa, na hayaruhusiwe. niliwahi kufungiwa na nikarudi kwa neema tu.
Lakini hata kwa wanaonijua si mtu wa matamshi ya ajabu. Nina heshima zangu.
Kichwa cha mjaddala hakinistaki na dhamiri hainihukumu. nimetumia maneno makali tu lakini ni ya kiswahili cha kawaida.
Tanzania imetoka mbali na humu sijadili safari yetu lakini ukweli watanzania Tumeichoka CCm na yenyewe (kama ipo) inajua kuwa tumeichoka
Watu wanaiba wanatoa rushwa. Rushwa imekua sasa inaitwa ufisadi. Mtu anaweza kuunguza benki kuu ili kuficha wizi. Viongozi wamejirundikia marupurupu yaliyokuwa haramu yakawa halali.
Toka lini sitting alowance ikawa laki tano na mtu anaweza kukaa vikao vitatu kwa siku. Sijawahi kukutana nayo nami nimetembea kidogo
Watanzania polepole wakajikusanya nguvu kupitia taasisi zake moja wapo ikiwa vyama vya siasa. NCCR ilinyongwa ikaumia inafufufa. CUF nayo ilifurukuta TLP ah usiseme
CHADEMA ikafanikiwa kuwakusanya watanzania na wakaitumaini. CCM ilipolinyonga tumaini lao la kupata Katiba mpya tumaini la watanzania ilikuwa CHADEMA Ni kupitia hiyo tukaipata UKAWA
Siku zote tunajua watanzania maamuzi magumu tutayafanya kupitia uchaguzi mkuu 2015. Tumeishachungulia na kuiona serikali ndani ya ukawa. Fulani rais, Fulani PM fulani vile

Gnafla tunasikia Lowasa anahamia CHADEMA tukacheka. apite wapi?
Mara tukasikia CHADEMA imenunuliwa kama timu ya Manchester Mara ah! nani alisema Lowasa fisadi? leta ushahidi
Mwisho tukasikia yamekuwa> Wenye akili tukasema basi sisi na CCM yetu na madhambi yake. UKAWA basi. Ghafla tunasikia Slaa na wengine hawamo ila ni Mbowe kalazimisha. Slaa haonekani kwenye vikao na sasa Lipumba kajitoa. Mbatioa achana naye. Yuko kazini.
Sasa kama Mbowe anasema walikubaliana katika kamati kuu iweje katibu mkuu wake hayupo? kama huu ni uamuzi wa UKAWA mbona wenzake wanajitoa? UKAWA ni Mbowe kwongeza Mbowe??????
Kama kweli kaahidiwa fedha basi ni fisadi nambari wani. Kawasaliti watanzania kwa manufaa yake. la sivyo basi ni kaburu tu. Mpaka awe mweupe ndiyo tuseme ni kaburu. kuwabagua wote hao bado unaweza kusema nimetukana????????????? Sikubali --

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments