[wanabidii] MTAFARUKU NDANI YA UKAWA: NDEGE HAIWEZI KUSUIWA KUPAA???

Thursday, August 06, 2015
Mara ya mwisho ndege aina ya Concord iliporuka ilianguka na kuua watu wote.
Ilikuwa hivi:
ndege ilianza vizuri kujipanga. Polepole ikaanza mwendo. Mwasiliano na mnara wa kuongozea ndege yalikuwa mazuri. ndege ikashika mwendo. ukaongezeka na kufikia hatua ambayo haiwezekani ndege kutoruka ndipo rubani akagundua kuwa ndege ina hitilafu kwenye engine. Akautaarifu mnara wa kuongezea na kuwa takeof was ireversible (huwezi kuizuia tenda ndege kupaa angani) Rubani akaambiwa ajitahidi kutua uwanja ulio karibu maana dege hilo lilikuwa linatimka usiome. Likaanguka kabla ya kuufikia uwanja wa mbele. Iligundua hitilafu iliwa uwanjani lakini kwa vyovyoite vile lazima iinuke.
Majuzi humu ulianza kutoka ushahidi wa riipoti ya mwakyembe. Nilifikir sasa UKAWA itaitisha vikao vya haraka kuijadili ripoti yote ambayo kwa kutonesha kidogo tulikumbuka ambayo yatatoka baadaye. Huwezi kuendelea na Lowasa ukijua hayo labda akina Mollel ambao walikuwa wananyonya.
Ha! vikao vikasendelea akakabidhiwa form ya kugombea.
Sasa Slaa haonekani katika UKAWA. Lipumba kajitoa.
najiuliza ishara hizi zinaonekana?? bado wanafikiri hili dege litaondoka uwanjani lirue uwanja ufuatao na hitilafu zote hizi??? Kwa sababu bado Tume ya uchaguzi haijatangaza wagombea bado tu UKAWA hakuna mwenye kichwa akawaambia wenzake kuwa hatufiki popote??? Au wameishatumia fedha walizo naniii?
I believe the take off is reversible to my thinking UKAWA need to swaloow it
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments