[wanabidii] Juma Duni - SIENDI IKULU KUJENGA MSIKITI

Tuesday, August 11, 2015

"SIENDI IKULU KUJENGA MSIKITI"

Jana Juma Duni mgombea mwenza wa Edward Lowassa katika khotuba yake alisema haendi ikulu kujenga msikiti.


Maskini ! Waislamu wanaojitosa katika nidhamu ya kidemokrasia licha ya kuwa wanatumikia nidhamu ya kikafiri bado wanajitakasa zaidi na zaidi kwa makafiri kwamba hawana haja na dini yao. Halafu bado kuna baadhi ya Waislamu kwa uduni wa fikra wanawapigia kampeni wanasiasa hao. Mwisho vilio huwa tumesalitiwa. Kumbe tumejisaliti wenyewe kwa ufahamu duni


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments