[wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?

Saturday, January 24, 2015

NAOMBA USHAURI WAKO MWANANDOA MWENZANGU:

Nimeoa mwaka mmoja uliopita na kubahatika kupata mtoto mmoja.Tatizo linaloisibu ndoa yangu ni kwamba mke wangu ni mbinafsi vibaya sana,awali changu chake ila cha kwake usiguse,pia ni kiburi sana hataki umuelekeze chochote kile sasa hivi inakuwa ugomvi.Baada ya kuchunguza mama Mkwe ndio Mwalimu wa mke wangu kuhusu matatizo yote hayo nikampa ukweli wife kuwa tuna mtoto wa miezi 8 leo unaleta vurugu tuachane kwasababu ya maneno ya mama ako akajibu anachukia ndoa yangu anatamani muda wowote nimuache na yupo tayari mtoto atalea mwenyewe.


Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo??



Falhan Rahul

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments