Bandugu,
Mh Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari ameingia matatani baada ya kuichoma bendera ya CCM alikamatwa na kutiwa ndani na kutoka kwa kupewa dhamana jana.
Kuna aina ya siasa ambayo Watanzania wanaikosa. Leo unaweza kuambiwa maneno mazito sanaa jukwaani na viongozi wa upinzani na hata wa chama tawala laakini kesho na kesho kutwa viongozi wa chama wanakutana Ikulu wanakunywa juice na kupiga picha wakiwa wamekumbatiana kwa vicheko huwa zinanizidisha sanaa hamu ya kuipenda siasa ya Tanzania
Nimesoma habari ya Mh Nassari ya kuichoma bendera ya CCM nikaona ipo haja ya kuwa na advanced politics platform hapa Tanzania, Nlidhani Wapinzani ndio wangekuwa wa kwanza katika kucheza hii makitu lakini nimeshuhudia kuchoma kwa kadi za CCM na za Vyama vya Upinzani ati zimerudishwa na mmoja wa waliohamia kwao na hakuna mahala pa kuziweka
Hii style ya siasa za Mh Nassari kuanzia ile ya kutoa tamko kuwa Mh Rais asikanyage Arusha na maeneo ya kaskazini ati ni ngome yao nimeona ni siasa za kijinga sanaa na muendelezo wake ndio huo. Mh Mbowe na Dr Slaa najua mpo jukwaani na mnasoma uzi huu ama mtapata habari za usi huu. Ongeeni na kijana wenu mumkumbushe hata Mh Tambwe Hizza miaka ile alikuwa machachari sanaa akiwa CUF leo yupo CCM
Acheze kwa step / Acheze kwa staha siasa zake kwani bado hamiliki dola na kuna maisha nje ya siasa. Aweke akiba ya maneno na matendo, Awe mstaarabu !
He has been warned...!! 😈😈
Hamis,
Sent from Samsung Galaxy S 4
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPK8CpPi64kGJyP9nzQBXKjwes8kQsy%2B8NxQg%2BkvRKLgi90bfQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments