[Mabadiliko] TPDC WAMEONYESHA MFANO WENGINE IGENI BASI

Tuesday, December 16, 2014
Kwenu

Hii kitu  nimeikubali  kima cha  chini  kwa dereva  na  mesenja  5 M.  Hii  ni  kwenye  mchakato  wa  kuhusu  uendeshaji  na uuzaji wa gesi.   Kama  walifanya  mahesabu   yanayoeleweka   pig up  sio mbaya  taasisi  kulima mesenja 5m.  mkurugenzi  36m  safi sana  kitu net  ukiweka  gross yake hapo  hatari.
training  za kumwaga, misosi ndo usiseme, warfare  za  staff baraa.

body  zingine   ziige  huu  mchanganuo  kwa  waajiriwa  na  waajiri  ni  kicheko. kwa  mmiliki  mhhh  ana changamoto.

angalieni  hicho kiamabatanisho.  hapo  chini

Regards.

--
XAVERY  LANGA KAPECHA NJOVU

0783 662681

" Smooth seas don't make skilful sailors. "

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAAPXYOJAxqbv5Z71K%2BUwSfkXOwaTJ%2BnT9JU9GP3igSx9NF0ptA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments