Mwenyekiti wa Kata ya Mkwawa (CHADEMA) Manispaa ya Iringa na Katibu wa Mbunge wa Iringa Mjini bw, Joseph Mgima ashambuliwa na kukatwakatwa kwa Mapanga na Nondo usiku wa kuamkia leo. Tukio hili limetokea ikiwa ni muendelezo wa matukio ya utesaji yanayoendelea kuwapata Viongozi na wafuasi wa CHADEMA katika maeneo mbalimbali hap Nchini . Jana jumatatu jeshi la polisi lilikuwa linawshiklia vijana 6 wa CHADEMA hapa Iringa na waliachiwa kwa dhamana kutokana na Uchaguzi ulifafanyika jumapili huku kukiwa na kijana mmoja aliyekatwa skio wiki iliyopita maeneoa ya Mwang'ingo kwa kuonesha ishara ya vidole viwili kama ishara ya Ushindi. Kwa sasa katibu huyu wa Mbunge yupo hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa akiendelea na matibabu.......
+260 962 161607
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CA%2BTTPHp-33MrgD3eez7uDGDwn_awxDhhN0hExk%3DZd3Ymj3nxRQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments