Tunduma iko katika mikono salama, nani ccm? taarifa kwa makamanda mlio mbali na msio na habari katika viti 71 wilaya ya momba CHADEMA Imeshinda kwa kishindo huku ccm wakiambulia maumivu na aibu kuu. matokeo ni CHADEMA VT 54 ccm vt 16 tu hivyo ni wenyeviti 48 walio ongezeka baada ya kupata wenyeviti 6 katika uchaguzi wa mwaka 2009. VIVA CHADEMA VIVA UKAWA!!!
Ndola, Zambia
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CA%2BTTPHpfpZ2nSFNE9Kq%2BotjBApBQNKKhHpYyg0xQCdAtE5NQ%3DA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments